
Anakwambia, mi nakupenda ila naomba mapenzi yetu yawe ya siri watu wasijue.Hakuna kitu kinaitwa Mapenzi ya Siri duniani,kama anakupenda mwambie masharti aache nyumbani kwao.Siri ili iweje???Utaambiwa mimba nayo ya siri,na kisha ndoa itakuwa ya siri,na utaachwa kisiri-siri...
Waogope watu hao,na wewe uliyeko kwenye mapenzi ya Siri utadhani mnacheza Kombolela,ZINDUKA..Mtu akikwambia muwe na mapenzi ya siri mwambie ajiunge na Usalama wa taifa,huko ndo kuna siri!
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment