Vihoja vimeanza kwenye shindano la Big Brother Afrika 2014, HotShots, ambapo kamera zimewanasa washiriki wakichezeana makalio.
Mashiriki kutoka Namibia Luis amenaswa na kamera akiwa
anamchezea makalio mshiriki mwenzake Lilian kutoka Nigeria ikiwa ndo kwanza
siku moja tu imepita toka shindano hilo lizinduliwe.
ANKO SAM BLOG
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment