Tuesday, 21 October 2014

ATHARI ZA KUOA WAKE WAREMBO..........


Ukitaka maisha ya stress na mshtuko jaribu kuowa wanawake wazuri au macelebrity, utajuta maana tatizo sio wao ila wanasumbuliwa sana na kila mwanaume anawatamani. na hata huku kutongozwa wanaotongoza wanakuwa wamepani kuwa bora wafilisike lakini wafanikiwe kumlala.
Hivyo nashauri uowe wa kawaida tu ambaye hasumbui sana macho ya watu wala haangaliw mara kumi kumi.
Ni mtazamo au mnasemaje wadau

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment