Tuesday, 14 October 2014

ANGALIA PICHA MIONGONI MWA WALIOKUFA KWENYE AJALI YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI DOGO HEDARU



Mmoja wa kati ya Marehemu wa ajali hiyo aliyetambulika kwa jina la Dennis ambaye anatajwa kuwa mfanyakazi ya Exim Bank tawil la Arusha na kwasmba katika ajali hiyo alikuwa na baba yake mdogo.


Haya ndiyo mabaki ya gari hilo baada ya ajali.




Picha hii inadaiwa kupigwa muda mfupi kabla ya kuanza safari .



Haya ndiyo mabaki ya gari hilo baada ya ajali. ANKO SAM BLOG













Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment