Thursday, 23 October 2014

AIBU JAMANI..!! MAMBO YA NDANI YA SHUKA MOKO LIVE BILA CHENGA JIOONEE HAPA HUU MJIMAMA







Hehehe… heeeeee, heiiiya, acha nicheke miye mwana wa marehemu, sijui wazazi wangu huko waliko wako katika hali gani, nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape kivuli chake siku ya kiama.

Waweza kuona nacheka ukadhani labda nimejawa na furaha, kumbe nafsi yangu imejaa karaha, imekereheka kama siyo kukereheshwa.

Kuna watu wengine kwa kweli kila kitu watende wao wakitenda wenzao huwa mwao, hutaka kuicheza ngoma hata kama siyo ya kwao, upo?

Hivi inaingia akilini mama mtu mzima kutaka kuingilia ndoa ya mwanaye? Tuchukulie mfano ni wewe mama ungekuwa na mtoto wa kike, ndoa yake ikawa inaingiliwa na mzazi mwenzako ungefurahi?

Nalisema hili kwenu nyie wenye tabia hii kwa kuwa huu ndiyo mwarobaini wenye ladha chungu, lakini ndani yake unapata dawa ya kutibu maradhi yako ya nyongo

Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook

0 comments:

Post a Comment