Jennifer Lopez akionyesha manjonjo yake wakati wa ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil.
MWANAMUZIKI Jennifer Lopez amegonga shoo ya maana katika ufunguzi wa
Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil akiungana na rappa Pitbull na
staa wa Pop nchini Brazil Claudia Leitte.Wasanii hao waliungana kuimba wimbo maalum kwa ajili ya Kombe la Dunia 2014 uitwao 'We Are One (Ola Ola)' kwenye steji ya maana ndani ya Uwanja wa Sao Paulo uliokuwa na maelfu ya mashabiki wakisubiri mechi ya ufunguzi ya Kundi A kati ya Brazil na Croatia.
Sherehe hizo za ufunguzi zimegharimu pauni milioni 4.5 huku watoa shoo wakifanya majaribio kwa takribani saa 100 kabla ya tukio hilo la kihistoria
Like Page Yetu Hapa Kuungana Nasi Facebook
0 comments:
Post a Comment